Monday, December 28, 2009

Tabibu by Angela Chibalonza

Tabibu
1) Ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu.
Na neema, ya daima ni dawa yake njema.
Hatufai kuwa hai, wala hatutumai ila yeye kweli ndiye atupumzishaye.

Chorus
Imbeni malaika siafa za Yesu Bwana
Peke limetukuka Jina lake Yesu x2


2) Dhambi pia na hatia ametuchukulia,
twenendeni na amani hata kwake mbinguni.

3) Uliona tamu Jina la Yesu Kristu Bwana
Yuna sifa mwenye kufa asishindwe na kufa.

4) Kila mume asimame sifa zake zivume
Wanawake na washike kusifu jina lake.

2 comments:

  1. Hi! Do you by any chance know the other lady who did this song with Angela Chibalonza?

    ReplyDelete